Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Jambo Concepts (T), Limited, Juma Pinto (kushoto), akipokea CD yenye
nyimbo mbili za Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba wakati
alipotembelea ofisi za gazeti hili Dar es Salaam leo kutambulisha
nyimbo hizo pamoja na kuelezea mikakati yake ya baadaye kimuziki.
Ali Kiba alimkabidhi CD Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts (T), Limited, Benny Kisaka.
Ali Kiba alimkabidhi CD, Mmiliki wa Blog ya Wananchi, William Malecela.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Jambo Leo, Nyendo Mohamed (kulia), akimtambulisha Ali Kiba kwa waandishi wwenzake.
Mpiga picha Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Richard Mwaikenda (kulia), akimueleza jambo Ali Kiba.
Ali Kiba akisalimiana na Mhariri wa Makala wa Gazeti la Jambo Leo, Robert Hokororo.
Ali Kiba akisalimiana na Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Neema Mgonja.
Ali Kiba akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa.
Ali Kiba akisalimiana na Msanifu kurasa
Msaidizi wa Gazeti la Jambo Leo, Hamza Mussa.Imeandaliwa na www.habari
za jamii.com-simu namba 0712-727062.
0 comments:
Chapisha Maoni