Mhe Sharifu ametoa wito kwa jamii kuwajli na kuwapenda watoto Yatima pia kutogawana mali za watoto wanapofiwa na wazazi wao,huku wakiwaacha watoto hao kuishi kwenye mazingira magumu, pia awataka Wabunge wa Katiba Mpya warudi Bungeni kutekeleza majukumu waliyotumwa na Wananchi,amesema marumbano hayataleta tija ya kupata Katiba Mpya.
Naye Shekhe wa Wilaya ya Bagamoyo ...Ramia amewataka jamii imrudie Mwenyezi Mungu waachane na vitendo vya mauwaji ya Kinyama yanaotokea kila wakati nchini yanayotokana na Wivu wa Kimapenzi pia Mabomu yanayorupuliwa mara kwa mara yanaharibu historia ya Taifa amani iliyokuwepo kutoweka pia Maadiri ya Mwenyezi Mungu inapinga kufanya maswala ya Mauwaji ,Unyanyasaji watu wote ni ndugu moja wanatakiwa kupendana na Kushirikiana pamoja.
Hayo yamesemwa wakati wa kufutulisha watu mbalimbali Nyumbani kwa Mhe Abdul Zahoro Sharifu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani
Mwenyekiti wa Mji Mdogo Bagamoyo ABDU ZAHORO SHARIF
shekhe Ramia wa wilaya ya Bagamoyo
Mwenyekiti wa Mji Mdogo Bagamoyo ABDU ZAHORO SHARIF
Watu wakijandaa na futali
Watu wakijandaa na futali
Watu wakifa futali iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Mji Mdogo Bagamoyo ABDU ZAHORO SHARIF
Wat wakifa futali iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Mji Mdogo ABDU ZAHORO SHARIF
0 comments:
Chapisha Maoni