TAKWIMU ZINAONYESHA MAAMBUKIZI YA UKWIMI YAMEPUNGUA TACAIDS soma zaidi
-
10:30
Wakati maonyesho yanaendelea,Ndani ya Banda la TACAIDS elimu imezidi kutolewa kuhusiana na Ugonjwa wa Ukimwi na magonjwa mengine ya ngono.Akiongea na mwandishi wa blog Mkulugenzi wa Tacaids amesema maambukizi ya ukimwi yamepungua kwa kiasi kikubwa Tanzania hii ni kutokana na elimu ya kutosha inayotolewa kuhusina na Ukimwi.karibu banda la TACAIDS sabasaba kupata habari zaidi
0 comments:
Chapisha Maoni