VETA YAIBUKA KIDEDEA NDANI YA MAONYESHO YA SABASABA

Chuo cha ufundi VETA(Vocational Education AND Training authority) wameibuka washindi wa maonyesho ya sabasaba kipengere cha kundi la UTOAJI MAFUNZO NA UJUZI.Hii ni kutokana na wahitimu kuwa na uweza wa kimataifa katika fani mbalimbali za ufundi na kuwahimiza watanzania kujiunga na chuo hiko kwa Elimu bora zaidi ya ufundi.Pia VETA inatoa huruma kwa watu wenye mahitaji muhimu kama wenye matatizo ya akili,walemavu n.k
Mkurugenzi wa VETA Ndugu ZEBADIAH S.MOSHI akiongea na waandishi wa Habari baada ya kutangazwa washindi wa kwanza

Akionyesha TUZO waliyopewa ndani ya maonyesho ya Sabasaba

wafanyakazi wa sabasaba wakishangilia ushindi

Wanafunzi wa mahitaji maalumu wanaosoma  VETA

Wanafunzi wa mahitaji maalumu wanaosoma  VETA
Share on Google Plus

About SDM PRODUCTION MEDIA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List