Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na
Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa
miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo. Watu 8 wamepoteza
maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea
Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akititoa mkono wa
pole kwa Ndugu Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye
umri wa miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo kwenye ajali
ya gari iliyotokea Mtama karibu na stendi ya mabasi ya Masasi,Katikati
ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye ambaye alitoa
salaam za rambi rambi kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi. Watu 8
wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari
iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akiongozana na
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye kwenda kutoa salaam
za rambirambi kwa familia zilizopoteza jina wao kwenye agari ya gari
iliyotokea Mtama,kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Madini,Richard Kasesela . Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
0 comments:
Chapisha Maoni