Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati
alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya nae
mazungumzo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada
ofisini kwake,Mwenge jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada akifafanua jambo wakati wa
Mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa ofisini kwake,Mwenge jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akimtambulisha Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Mh. Namelock
Sokoine kwa Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada pamoja na
Ujumbe wake alioambatana nao.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akielezea
jambo kwa Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada na ujumbe
wake alioambatana nao wakati wa kikao chao kilichofanyika leo ofisini
kwake Mwenge,jijini Dar es saalam.Kulia ni Mbunge wa viti maalum CCM
mkoa wa Arusha, Mh. Namelock Sokoine.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
na Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Mh. Namelock Sokoine
(kulia) wakimsikiliza Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada
(wa pili kushoto) wakati alipokuwa akifafanua jambo kuhusiana na namna
Ubalozi huo utakavyoweza kufanisha Mradi wa Ujenzi wa Shule na Hospitali
katika Wilaya ya Monduli.Wa pili kulia ni Katibu wa Balozi wa Japan,Bw.
Sato Firgt.
0 comments:
Chapisha Maoni