Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Fadhili Boika kushoto na Jyma Biglee wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mpambano wao
Bondia Abdallah Pazi kushoto
akimshambulia kwa makonde Maneno Osward wakati wa mpambano wao
uliofanyika mwananyamala Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha
na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Abdallah Pazi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa CCM Mwijuma mwananyamala Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
0 comments:
Chapisha Maoni