Mkurugenzi
Mkuu wa Jovet Tanzania Limited Ndugu John Kessy akitafakari jambo
wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia mawakala wa Bavaria eneo la
Afrika ya mashariki.
Ndugu
John Kessy mkurugenzi wa kampuni ya JOVET TANZANIA Ambao ndio mawakala
wakuu wa kinywaji cha Bavaria katika ukanda wa Afrika Mashariki
akimpongeza Innocent Gasangwa, wakala wa Bavaria kutoka nchini Rwanda
Baadhi
ya wadau wa Bavaria wakibadilishana mawazo wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na jovet Tanzania limited wasambazaji wa kinywaji cha
Bavaria eneo la Afrika Mashariki
Ndugu Justus Kyolike meneja masoko mkazi wa Bavaria akiteta na wadau wa Bavaria
0 comments:
Chapisha Maoni