WAZAZI NA WALIMU WANAFUNZI WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA ILI KUPATA WATAALAMU WA NDANI WALIO BORA

Wazazi  nchini wametakiwa kulea watoto wao kwa kufata mahadili mema ya kumpendeza mwenyezi Mungu,hali hiyo itawafanya  kuwa na nidhamu wanapokuwa shuleni ,kuwasikiliza walimu pia nakupenda masomo pamoja na kuwa na uwelewa wa kutosha hata kupata wataaalamu wa ndani.
Wazazi wanapofarakana na mtoto kupata malezi ya upande mmoja hali hiyo inasababisha watoto kukosa  malezi mema kwa kuwa baadhi ya huduma za muhimu kuzikosa pia wakati mwingine hata mahitaji ya shule bado ni tatizo hali hiyo imechangia watoto kutosoma vizuri,kusoma kwa shida hata baadhi yao kukatisha masomo yao kwa kudanganyika hata kujiingiza kwenye makundi maovu.

Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Temeke Donalds Chavilla  amesema ushirikiano wa wazazi ,wanafunzi,Walimu unamanufaa makubwa na kufanya wanafunzi  wasome kwa bidii hata kupata wataalam mbalimbali wa kutoka nchini nasio kutegemea kutoka nje,wataalam wa ndani ndio wenyeuwezo mkubwa wa kujenga maendeleo ya taifa.

Afisa Elimu Donalds Chavilla amewataka wamiliki wa shule nchini watumie fursa hiyo kutoa huduma ya Elimu bora nasigeuze ni sehemu ya Kibiashara,zaidi wakifanya hivyo watasababisha  kutoa taaruma isiyokuwa bora na kutoa bora elimu,pia amewataka wazazi walipe  ada za watoto wao kwa wakati ,na wanafunzi nao wasome kwa bidii kuhitimu kwa kidato cha nne bado awajafika safari yao ya kielimu wanatakiwa kuendelea zaidi kupata elimu ya juu ambayo itaweza kumsaidia mwenyewe kwa miaka ya baadaye.
Afisa Elimu Chavilla ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika MAHAFARI YA 9  ya Kidato cha Nne Pius Sekondary school  iliyopo wilaya ya Temeke Kongowe jijini Dar E Salaam jumla ya wanafunzi waliohitimu 128 wavulana .70 na Wasichana  58, wote wametakiwa wasijibweteke kwa hapo walipofikia safari ya elimu bado inawasubili wajitambue kuwa bado ni wanafunzi.

Naye  Mkurugenzi   wa shule ya Pius Secondary School  Mbaulidia .R.Bugingo amewataka wazazi nchini wa walee watoto wao katika misingi iliyo bora ili waweze pata elimu  bora na sio bora elimu ,huku akiwasisitiza wanafunzi waliohitimu wasome kwa bidii kwa sababu hamna njia ya mkato katika swala  la elimu wajiwekee fikla za kusonga mbele ili wafikie elimu ya Juu

Mkuu wa Shule ya Pius Sekondary school  Lucas  Hassan  amewataka wahitimu hao wa elimu ya  kidato cha nne watumie Maadiri mema  waliyopata na waendelee nayo pia wasijiamini sana .wanatakiwa wasome kwa bidii pia wamtangulize Mwenyenzi Mungu kwa kila  Jambo pamoja na Kusoma kwa bidii,pia akitoa nasaa kuwa shule hiyo inarekodi ya wanafunzi kufahuru ambapo waliohitimu mwaka jana walifahuru wote na kushika nafasi ya kwanza kwa wilaya ya Temeke kwa mkoa wa Dar Esalaam kupata nafasi ya 16 .

Wahitimu wa kidato cha nnePius Sekondary school  wakipokea zawadi kwa mgeni rasmi kutokana na kufanya vizuri 

Wahitimu wa kidato cha nnePius Sekondary school 

Wahitimu wa kidato cha nnePius Sekondary school 

Meza kuu siku ya mahafali ya kidato cha nnePius Sekondary school  

Wanafunzi wa shule ya Pius Sekondary school

Wazazi wakiwa katika mahafali ya watoto wao Pius Sekondary school

Mkuu wa Shule ya Pius Sekondary school  Lucas  Hassan

Mkurugenzi   wa shule ya Pius Secondary School  Mbaulidia .R.Bugingo

Afisa Elimu Donalds Chavilla(Mgeni rasmi siku ya mahafali hayo)


Wanafunzi waliofanya vizuri masomo mbalimbali akipokea zawadi.

Wanafunzi waliofanya vizuri masomo mbalimbali akipokea zawadi.


Wahitimu wa kidato ch nne wakiimba nyimbo za kuwaaga 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List