ST.MARK'S SEKONDARI YAFANYA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE

Wanafunzi nchini wameshauriwa wasome masomo ya Sayansi zaidi  ili waweze kuwa na uwanja mkubwa wa kwenda kidato cha Tano pia kupatikana kwa wataalam wengi wa ndani wakiwepo Madaktari  Bingwa wa magonjwa mbalimbali kutoka ndani ya nchi.  

Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPH  aliongezea kuwa ili nchi iweze kumudu uchumi wake ni lazima iwe na wataalamu wengi wa ndani ambao watakuwa na uwezo wa kumudu sekta mbalimbali.Pia ameomba Serikali kutengeneza mazingira mazuri ya wanafunzi wa Elimu ya juu wanasoma masomo ya sayansi.

Idadi ya wanafunzi waliohitimu ni 278 ambapo wasichana ni 182 na wavulana 96

Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPH 

Wanafunzi na wazazi wakiwa katika hali ya furaha siku ya mahafali ya kidato cha nne.

Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPHST

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List