Wafanyakazi wa EFM Radio wakiwa katika pozi wakati wa kilele cha EFM Bar kwa Bar Muziki Mnene.
Ma DJ kutoka EFM wakitoa burudani.
Mtangazaji wa Michezo wa EFM Radio, Maulid Kitenge akiwaburudisha mashabiki.
Omary Katanga wa EFM naye akifanya yake stejini.
Nyomi iliyohudhuria sherehe za kilele hicho.
Burudani mwanzo mwisho.
DJ mkongwe nchini, Majay Majizzo akifanya yake stejini na kupagawisha mashabiki vilivyo.
Babu aliamua kuvua viatu na kubaki peku baada ya burudani kukolea.
Kitenge katika pozi na mdau.
Mtangazaji wa EFM,Katika picha ya pamoja na Meneja Uhusiano wa EFM, Kanky Mwaigomole.
Watangazaji na Ma DJ wa EFM wakifanya yao ndani ya Dar Live.
0 comments:
Chapisha Maoni