Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa.[/caption] [caption id="attachment_56562" align="aligncenter" width="734"]Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki timu ya Mazombi FC lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa.[/caption] [caption id="attachment_56571" align="aligncenter" width="800"]Mwakilishi wa Timu ya Vijana Jogging Club akipokea zawadi ya fedha baada ya kuibuka washindi wa tatu katika Luta CUP Gongo la Mboto.[/caption] [caption id="attachment_56567" align="aligncenter" width="800"]Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (wa pili kulia) akizungumza kabla ya kuanza kwa mtanange huo kati ya Timu ya Mazombi FC na Sobibo FC.[/caption] [caption id="attachment_56570" align="aligncenter" width="751"]Washindi wa nne wakipokea haki yao pia.[/caption] [caption id="attachment_56570" align="aligncenter" width="751"]Washindi wa nne wakipokea haki yao pia.[/caption] [caption id="attachment_56569" align="aligncenter" width="800"]
DKT.SLAA APANDISHWA KIZIMBANI
-
*kmonlinetv*
Mwanachana wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.
Wilbrod Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni