Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro jana.Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Morogoro jana.Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro jana.Umati wa wananchi Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, akishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali jana.
DKT.SLAA APANDISHWA KIZIMBANI
-
*kmonlinetv*
Mwanachana wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.
Wilbrod Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni