Watu wenye ulemavu wa ngozi wame eleza kuridhishwa na hatua zinazo chukuliwa kuendeha na serikali za kuwalinda dhidi ya mauwaji ingawa bado wanatoa wito kwa serikali kusambazwa waraka wa tiba kwenye mahospitali utakao wawezesha kupata huduma bila kunyanyapaliwa
malemavu hawa pamoja na mambo mengine wana changamoto mbali mbali za kiafya hususan kwenye ngozi ambazo huitaji fedha nying kukabiliana nazo wakati ambpo wengine wanakipato cha chini
BSL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI ZINGA
-
Afisa Utawala BSL Ibrahim Juma Mohammed amesema kuwa msaada huo ni
mwendelezo wa michango mbalimbali ambayo wamekua wakitoa huku akisisitiza
kuwa kwa...
Saa 16 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni