Jumuiya ya wazazi wa ccm imekabidhi pikipiki kwa makatibu wa wilaya ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kupunguza kero ya usafiri na kuwawezeha kufika maeneo yote kwa urahisi na kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao kupitia jumuiya hiyoo
pikipiki hizo zimetolewa na mwenyekiti jumuiya ya wazazi taifa abdallah bulembo aliye kabidhi jumla a piki piki 170 kwa makatibu kutoka wilaya zote nchini
0 comments:
Chapisha Maoni