Bondia Imani Mapambano Kushoto akitunishiana misuli na
Abdallah Pazi wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa
utakaofanyika wakati wa sikukuu ya Iddi pili katika ukumbi wa New Vijana
Kinondoni katikati ni mratibu wa mpambano uho Shomari Kimbau Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Imani Mapambano Kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Pazi wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika wakati wa sikukuu ya Iddi pili katika ukumbi wa New Vijana Kinondoni katikati ni mratibu wa mpambano uho Shomari Kimbau Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mratibu wa mpambano wa masumbwi Shomari Kimbau katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Ibrahimu Maokola kushoto na Geoger Dimoso wakati wa utambulisho wa mpambano wao siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Picha na SUPER D BOXING NEWS
0 comments:
Chapisha Maoni