![]() | |||
| Chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE (ADC) Mwenyekiti wa chama hicho taifa Saidi Miraji amewataka wakazi wa jiji la Dar es Salaam kesho tarehe 22/7/2015 wajitokeze kwa wingi waende kwenye vituo wakajiandikishe katika daftari la kudumu la kupiga kura |
MWENYEKITI WA CHAMA ADC TAIFA SAID MIRAJI AWATAKA WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAKA JIANDIKISHE DAFTARI LA KUDUMU LA KUPIGA KURA
-
11:28



0 comments:
Chapisha Maoni