![]() | |
Mtu aliyekutwa amekufa kando kando ya barabara ya treni ya yombo vituka akiwa namajereha makubwa ya kupigwa na kitu chenye ncha kali |
![]() |
Wananchi wa eneo hilo walitoa tarifa kituo cha Polisi cha chang'ombe wilaya ya temeke baada ya wanachikupiga simu wakifika kwenye eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu huyo. |
0 comments:
Chapisha Maoni