|
Mkufunzi wa Marefarii wa chama cha ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Champion akiwapa mawaidha baadhi ya mabondia waliopima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa idi pili katika ukumbi wa Vijana Kinondoni |
Bondia wa uzito wa juu Juma aDBDI AKIPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO JUMAPILI
Bondia Abdallah Pazi akipima uzito kulia ni Mkufunzi wa Marefarii wa chama cha ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Champion na mpinzani wake Imani Mapambano
Bondia Imani Mapambano akipima uzito
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni