Anayewania nafasi ya ubunge Jimbo la kigamboni Daye safari mafu amerudisha form baada ya kukamilisha zoezi la Kujaza form ya ugombea Ubunge na kukabidhi kwa Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Temeke Jiji Dar Es salam
Daye Safari Mafu amesema endapo atafanikiwa kuchaguliwa nafasi ya ubunge katika jimbo hilo hata akikisha anasimamia maendeleo kwa wakazi wa kigamboni yanapatikana kwa kuwaletea huuduma za kijamii kama vile maji,afya,elimu,na kuondoa migogoro ya ardhi
Rutuma mafunu katibu mwenyezi wa wilaya ya temeke amesema chama cha mapinduzi hivi sasa idadi ya watangazania imeongezeka siwa na kukua kwa demokrasia pia amewataka wananchi na makada wa ccm wajitokeze katika uandikishaji wa daftari la kudumu la kupiga kura ambapo muda wa kupiga kura wapate nafasi ya haki yao ya msingi kumchagua kiongozi wampendaye atakayeweza kuwaletea maendeleo.
RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MKOA WA SONGWE
-
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amepokea kwa masikitiko taarifa
za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi. Esther Alexander
Mahaw...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni