Chama cha ADC ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE wamesema wamejiandaa vizuri kuakikisha uchaguzi ujao wanashinda kwa kishindo uchaguzi mkubwa unao tarajiwa kufanyika hivi karibuni Urais, Ubunge na Udiwani wakijinadi watahakikisha majimbo na kata zote nchini wanapita bila kupingwa
Mh Saidi Miraji mwenyekiti wa ADC taifa amesema chama hiko kimejiandaa kuleta mabadiliko ndani ya taifa katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu afya miundombinu, kilimo
na ujasiliamali.
Pia watahakikisha wanapiga vita masuala ya ufisadi na rushwa pia watatumia njia mbadala za kuwawezesha vijana kupata ajira mbali mbali
ADC WAJIPANGA KWA UCHAGUZI HIVI KARIBUNI
-
10:16



0 comments:
Chapisha Maoni