Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage
wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi
iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwanne Haji wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya Idi mosi manzese Dar es salaam Lulu Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mwanne Haji akiwa amepozi |
Bondia Lulu Kayage akiwa amepozi |
Lulu Kayage na Mwanne Haji baada ya mpambano wao
Ngumi ni mchezo wa Furaha ndio anavyosemekana kushema Mwanne Haji kulia wakati Lulu Kayage akipiga picha ya Pozi |
Bondia Lulu Kayage akimshambulia Mwanne Haji wakati wa mpambano wao Lulu Kayage alishinda mpambano uho kwa point |
Lulu Kayage na Mwanne Haji wakioneshana Umwamba wa kutupiana Makonde
Mwanne Haji kushoto na Lulu Kayage wakioneshana umwamba wa kutupiana Makonde Kayage alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita
0 comments:
Chapisha Maoni