Kaimu mkurugenzi wa Redio Uhuru Angel Akilimali amerudisha fomu ya kuwania ubunge vitimaalumu vyuo vikuu huku lengo lake kuu ni kutetea haki ya ajira kwa wandishi wa habari nchini |
Tambo Hiza akikabidhi fomu ya ubunge kuwania jimbo la mbagala ,fomu ikipokelewa na katibu mwenezi wa wilaya ya temeke Yona Sengelima |
Hatibu Miraji Zombe akikabidhi fomu ya ubunge kuwania jimbo la kigamboni,fomu ikipokelewa na katibu mwenezi wa wilaya ya temeke |
Phares Israel Magesa akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la mbagala kwa katibu mwenezi ccm wilaya ya temeke |
Arnold Dominick akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la temeke kwa katibu mwenezi wa wilaya ya temeke |
Khalid Khamis Salim(Chicago) akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la temeke kwa katibu mwenezi wilaya ya temeke |
Phares Israel Magesa |
Abdularahim Abbas akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la mbagala |
ARNOLD AKIJAZA FOMU |
Khatibu Mharami zombe akikabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo kigamboni kwa katibu mwenezi wilaya ya temeke |
Hawa ni baadhi ya watangazania ya kuwania ubunge katika majimbo ya wilaya ya temeke Kigamboni,Mbagala na Temeke ambapo kila mmoja alikuwa na sababu za msingi zilizo mfanya kuwania ubunge katika wilaya ya temeke jijini Dar es salaam
0 comments:
Chapisha Maoni