MAOMBI YA AMANI

Kanisa la Bethel nchini kupitia askofu mkuu Denis Kapella,wamefanya ibada ya maombi maalumu ili kuombea uchaguzi mkuu wa Rais,Madiwani na Wabunge ili ufanyike kwa Amani,Huku akiwataka wagombea wa nafasi ya Urais kuwa na maono yenye maslahi kwa Taifa katika uongozi wao.

Pia askofu amekemea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) yanayoendelea nchini kutokana na kuhusishwa na wanasiasa.
Mgeni rasmi Mbunge wa kigoma kusini Ndugu:David Kafulila aliwataka wananchi kuchagua viongozi watakao weza kuinua uchumi wa Mtanzania.











Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List