MBUNGE WA VITI MAALUMU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH ZARINA MADABIDA AMETOA MAGARI MATATU KWA UONGOZI WA UWT MKOA WA DSM
-MHE ZARINA MADABIDA MBUNGE VITIMAALUM MKOA WA DAR ES SALAM KUPITIA WANAWAKE AMESEMA KUTOKANA NA TATIZO WALILONALO WANACHAMA WA JUMUIYA YA UWT KUTEMBEA KWA MUDA MREFU KWA MIGUU KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI ZA CHAMA HILO NIMEMGUSA AKIWA KIONGOZI WA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAM AKIWA MBUNGE WA VITIMAALUM AMEAMUWA KUTOA GARI KWA WILAYA ZOTE TATU
HUKU AKIWATA KATIBU WA WILAYA YA KINONDONI,ILALA NA TEMEKE
WAHAKIKISHE WANAINGIA KILA KATA NA MITAA KUHAMASISHA WANANCHI
PAMOJA NA MAKADA WAJITOKEZE KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA
KUPIGA KURA.AMBAPO MUDA WA UCHAGUZI UFIKAPO WAPATE FURSA YA KUCHAGUA
KIONGOZI HATAKAYE WAFAA KIMAENDELEO.KIUCHUMI.KIELIMU.AFYA.MIUNDOMBINU.
MAJI.KILIMO.UJASIRIAMALI NA KUTOA FURSA YA AJIRA MBALIMBALI KWA VIJANA NA
JAMII NCHINI.
0 comments:
Chapisha Maoni