CCM VIONGOZI WABADILIKE
-Viongoz wa chama cha mapinduzi wametaka viongozi waachane na tabia ya kuwabeba wagombea waiokubalika na wana nchi ili kuepuha kupoteza majimbo na kata katika uchaguzi ujao wa udiwani na ubunge pia ni kuwapata viongozi wenye maadiri mema na sifa za kuongoza sio bora kiongozi ramadhani madabida
mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dar es salaam ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulio fanyika katika viwanja vya kata ya kimara wilay ya kinondoni jijini dar es salaam
0 comments:
Chapisha Maoni