mkoa wa dodoma hivi sasa wamejipanga kuboresha upatikanaji wa bidhaa mbali mbali muda wa jioni kuanzishwa kwa soko la jioni mkoani dodoma mjini hali hali hiyo itachangia kuongezeka kwa uchumi kwa wafanya biashara marufu kama machinga pia itawapa fursa kwa viongozi wamalizapo kazi za bunge viongozi hao kupata maitaji wanayo hitaji kwa majira ya jioni
SOKOLO LA USIKU MKOANI DODOMA
-
23:41



0 comments:
Chapisha Maoni