Baraza la watumiaji wa huduma za usafiri
wa majini na nchi kavu SUMATRA -CCC,limeeleza dhamira yake ya
kufungua kesi dhidi ya watoa huduma wa usafirishaji kwa mabasi yaendayo
mikoani watakaogoma,kama shinikizo ,serikali kubadilisha uamuzi wake wa
kupandisha ushuru wa mabasi kwa asilimia 25
Baraza
hilo limesema ,ni haki kwa watoa huduma hao kuzungumza na serikali
,lakini umoja wao ujumikanao kama TABORA ,hauna mamlaka kisheria
kuitisha mgomo
Tishio hili linakuja kabla watu hawajasahau machungu ya mgomo yaliyosababisha na madereva na kusababisha adha kubwa kwa watumia usafiri wa umma.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni