
akizungumzia mpambano uho mratibu
ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa
sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost
22
mbali na mabondia hawo mabondia
wengine watakao oneshana kazi siku hiyo ni kelvin Majiba atakaepambana
na Vicent Mbilinyi wakati Husein Pendeza akioneshana
umwamba na Shomari Mirundi na Raymond Mbwago atazidunda na Roger Masawe
na mapambano mengine mengi ya mabondia chipkizi
mabondia hawo watapima uzito katika
tawi la mashabiki wa yanga bomba lililopo mtaa wa ndanda Kariakoo na
mpambano wao kufanyika siku ya jumamosi kuanzia saa kumi na mwisho
kabisa itakuwa saa kumi na mbili jioni ili kila mtu afurahie ngimi izo
zitakazochezwa mapema na kumalizika mapema kabisa katika siku hiyo

0 comments:
Chapisha Maoni