Dk Ally Mohemedi Shein akizindua Mradi wa Umeme Kisiwani Pemba hivyo amewataka watumie vizuri umeme huo,Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar ZECO wametumia zaidi ya Bilioni moja gharama za mradi wa Umeme Kisiwa cha Panza na Kusiwa cha Makoongwe zaidi ya milioni mia nane vyote visiwa hivyo vipo ndani ya Kisiwa cha Pemba ambapo ameweza kutimiza ahadi yake aliyoweka wakati akiomba kura hawamu ya kwanza ya Urais wa Zanzibar
Dk Shein amewataka wananchi wa Visiwa hivyo watumie vizuri Umeme huo kwa kulipa gharama zinazoitajika baada ya matumizi,amesema jukumu la Serikali ilikuwa kazi yake kuleta Umeme suala na matumizi baada ya kutumia wananchi,gharama hizo watalipa kutokana na kila mmoja kutokana na matumizi yake.
Hata hivyo serikali lengo lake ni kuleta maendeleo kwa wananchi wote waishiyo katika visiwa hivyo,wameweza kuweka gharama ya kuunganishiwa kuweka Umeme kwenye nyumba za wananchi kwa gharama ndogo,pia asiyekuwa na uwezo kabisa atawekewa kwa mkopo na kulipa kwa hawamu tofauti kulingana na uwezo aliokuwa nao,bila kujali Itikadi ya vyama,Dini wala Kabila
Hassani Ally Mbarouk Meneja mkuu shirika la Umeme ZECO Zanzibar ametowa wito kwa wananchi kufanya matumizi sahihi ya Umeme kuwa wahaminifu pamoja na kulinda miundombinu ya Umeme iliyopita ndani ya Bahari,ili waweze kunufaika na Umeme huo kiuchumi.
TUMETIMIZA MATAKWA YA ILANI YA CCM YA KUFIKISHA WATALII MILIONI TANO-DKT
CHANA
-
Na Mwandishi wetu, DSM
Waziri wa Maliasili na Utalii mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana (Mb)
amewapongeza watendaji wa wizara hiyo kwa kutimiza malengo ya ilan...
Saa 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni