Kampeni za uchaguzi Ccm zimezinduliwa lasm Leo wameuzuria Marais mbalimbali wa Tanzania bars na Zanzibar waliomaliza muda wao waliostafu wote wakiwa na nia ya kuwanadi wagombea wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar na. Tanzania bara siku ya Oktobar 25 wawapigie kura wagombea wa kutoka chama cha Mapinduzi Ccm hili waweze kuwaletea maendeleo ya uchumi has a katika suala LA Mafuta na uchimbaji wa Gesi. Dk Ally MOHAMEDI She in Rais wa Zanzibar aliyemaliza muda wake hawamu ya kwanza ,Ambaye anayetetea Kiti chake cha Urais kwa hawamu ya pili, Amewataka wananchi wa Zanzibar wachague tena hawamu ya pili Siku ya tar 25 Oktobar bila kujari Itikadi ya vyama chama cha Ccm kinamisingi bora ya Usawa na amani, Pia kinazigatia suala zima LA Muungano wa Tanganyika na Zanzibar waendelee kuwa na IMANI na chama cha Mainduzi
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Siku 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni