Zangina shanang zangina amesema alikuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi kwa muda mrefu katika nafasi mbalimbali lakini amedai akitumikia katika hali ya uvuilivu kutokana na baadhi ya viongozi wa ccm kuongoza kwa ubinafsi zangina asema baada ya kutangaza nia ya ubunge ccm ambapo jina lake lilikatwa katika kura Za maoni ndipo alipo alipohamua mahamuzi magumu na kuingia Chama cha act nakupata lidhaa ya kugombea ubunge jimbo LA ubungo amewataka wananchi ifikapo tar 25 oktobar 2015 wamchague atawaletea maendeleo ya uchumi afya elimu MAJI miundombinu barabara pamoja na huduma zote za jamii
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 6 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni