Viongozi wa Kiroho nchini wamekumbushwa kuhubiri na kulinda Amani wakati huu taifa likielekea katika uchaguzi mkuu wa Urais ,Wabunge na Madiwani. Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa Kanisa LA Ufunuo na Uzima,NABII Paul Bender's wakati akitoa maono yake kuhusu mwelekeo wa uchaguzi mkuu kwa nafasi ya Rais ,katika mkutano na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam. NABII Bendera amesema viongpzi wa Kiroho wametakiwa kuhubiri upendo ndani ya taifa na kulinda Amani ametumia nafasi ya kuzungumza na Waandishi wa habari
Kuwakumbusha jukumu lao, NABII Paul aliwahi kutoa maono ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya na matokeo yakawa sahihi kwa Uhuru Kenyata kushinda uchaguzi huo na pia hivi karibuni aliwahi kutoa maono ya kuibuka vurugu za kisiasa na kufanyika mapinduzi yatakayoshinda nchini Burundi vurugu ambazo zilitokea na pia mapinduzi kushindws
DKT. DORIYE AVISHWA CHEO KUAPISHWA KUWA KAMISHNA WA UHIFADHI NCAA.
-
*Na Kassim Nyaki, Karatu.*
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) kwa niaba
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sa...
Siku 3 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni