Mgombea Udiwani chama cha Mapinduzi kata ya kisarawe tuu jijini Dar es salaam Issa Zahoro amewataka watanzania wawe makini na kufanya uchaguzi sahihi Oktabar 25 mwaka huu kwa wawa chague wagombea wa chama cha mapinduzi. Asemema kuichagua Ccm in njia pekee ambayo itaweza kuifanya Tanzania kuendelea na amani iliyopo na kuwa hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya chama cha Mapinduzi Zahoro amesema hakuna asiyefahamu CCM imefanikiwa kwa asilimia 87 kufanikiwa kuleta maendeleo ya taifa hili Kigamboni Kisarawe tuu imefanikiwa kupata maendeleo ikiwepo MAJI, Umeme, Barbara, Shule, na Zahanati, amewataka wananchi hao waendelee kuwachagua viongozi toka chama cha Mapinduzi hili waweze kuendeleza palipp baki
RAIS SAMIA NA RAIS MSTAAFU KIKWETE WAPONGEZWA KWA USHINDI WA PROF. JANABI
-
Na Mwandishi Maalumu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amepongezwa kwa maono yake ya mbali na uamuzi wa busara wa ...
Saa 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni