Mamlaka ya soko LA mitaji na hisa kTanzania CEO wamehitimisha mashindano waliyo shindanisha wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali katika chemsha bongo na isha kwa kutumia ujimbe mfupi wa simu SMS kupitiaitandao lengo likiwa ni kuwapatia ufahamu masuala ya mitaji dhamsna na uuzaji hisa. Jumla ya wanafunzi walioshiriki ni 7 501 na waliofanikiwa katika fainali ni 80 kabla ya kupata washindi wa kwanza katika kila idara na hatimaye kupatikana 12 watakao kwenda afrika kusini kujifunza zaidi suala LA soko LA mitaji na hisa ili waweze kuwa mabalozi bora nchini. Hats hivyo serikali imewataka watanzania kutoa taarifa za wafanyabiashara nchini wanaotumia dola katika kuuza bidhaa zao ili kudhibiti sarafu ya Tanzania kushuka thamani
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni