Maendeleo ya nchi dr magufuli awataka wahandisi kutumia vyema taaluma zao WAZIRI wa ujenzi fokta john magufuli amewayaka wahandis kutumia viziri taaluma yao kuchsngia maendeleo ya uchumi nchini
Dokta magufuli pia ni mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi ccm amesema iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Tanzania ataipa kipaumbele sekta ya uhandisi ili kukuza uchumi wa taifa mhandisi ramo makani amesema wamekubaliana kuitrkeleza dira ya miaka 15 ijayo ili kuhakikisha Tanzania inapiga hatua katika maendeleo ya uchumi
Wahandisi ujenzi
-
13:04
0 comments:
Chapisha Maoni