Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam wamempongeza Rais John Pombe Magufuli pamoja na Waziri mkuu Kassim Majariwa kwa hatua ambazo wamekuwa wakichukua dhidi ya watendaji wabadhilifu Wamesema hatua alizochukua Rais Magufuli na waziri mkuu wake ni za Kishujaa kwa kuwa wamegusa maslahi ya watu, hivyo wanahitaji kuombewa na ushirikiano kutoka kwa wananchi
VIJANA UVCCM KINONDONI
-
06:41
0 comments:
Chapisha Maoni