Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi U.W.T Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa Kodi Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. kwa ufuatiliaji wa mambo kwa ukaribu na kuwawajibisha viongozi wazembe Janeth Masaburi ni mwenyekiti wa U.W.T Mkoa wa Dar es salaam amewataka Watanzania bila Kujali itikadi za vyama. Kabila au dini kwa kushirikiana na watendaji wa Serikali Kwa pamoja kutoa ushirikiana na watendaji wa Serikali kwa pamoja kutoa ushirikiano wa dhati kwa kuleta maendeleo ya Taifa
U.W.T WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI
-
01:45
0 comments:
Chapisha Maoni