Wananchi waliodhurumiwa haki yao ya ardhi walioachiwa na marehemu mama yao wamemuomba Rais John Pombe Magufuli asikie kilio Chao ili awasaidie kurudishiwa haki yao ya Kiwanja Wananchi hao wakazi wa Kata ya Miono Chalinze Kitongoji cha Kikalo halmashauri ya Bagamoyo wameiomba Serikali iwasaidie kwa kuwa ni wanyonge wamenyimwa haki yao ambapo Kiwanja hicho walilithi kutoka kwa marehemu mama yao
WANYONGE HAWANA HAKI
-
05:49
0 comments:
Chapisha Maoni