Wananchi waliobainika Kuhujumu Miundombinu kwa kuchakachua ili waweze kutumia umeme bila malipo yoyote Operation hiyo ambayo imeanza tangu mwaka 2011 imelenga kukomesha vitendo vya uhujumu Miundombinu ya umeme ili kuwawezesha wanachi kunufaika na rasilimali hiyo kwa maendeleo yao Wakaguzi hao wakiwa katika mtaa Oyerstabay kata Msasani barabara ya Mkadini nyumba Prot no. 63 bloc /109 zoezi la ukaguzi kwa nyumba hiyo walipata wakati mgumu baada ya mlinzi kuamrishwa awafungie mlango wasitoke nje zaidi ya masaa. 5.inadaiwa kuwa nyumba hiyo ya Kigogo mmoja alikuwa akifanya kazi Serikalini
TANESCO MKOA WA KINONDONI KASKAZINI UMEZIKATIA UMEME NYUMBA ZAIDI YA MIA TATU ZILIZOBAINIKA KUHUJUMU MIUNDOMBINU
-
09:26
0 comments:
Chapisha Maoni