Walimu nchini wametakiwa watumie fulsa walizonazo ili kutatua changamoto za elimu kwa kuwa taifa linawategemea kupata wataalam wa ndani.
Kauli hiyo imetolewa katika mahafali ya nane ya chuo kikuu cha DUCE jijini Dar es salaam. Serikali inajitahidi kusomesha Walimu kwa kutumia kodi za Wananchi lengo ni kuongeza fulsa za ajira ya Walimu Kutokana na uhaba wa Walimu hasa katika masomo ya Sayansi na Hesabu hivyo imeombwa walimu kupenda kazi yao na kwenda vituo vyao vya kazi.
WALIMU WATUMIE FULSA ZAO
-
22:40
0 comments:
Chapisha Maoni