Kampeni ya Simu za mkononi ya AIRTEL Imezindua huduma mpya kwa wateja wake ya kutazama michezo na burudani ya muziki katika simu za. mkononi kupitia kifurushi cha Yatosha Internet. Huduma hiyo imezinduliwa jijini Dar es Salaam baada ya Airtel kuingia mkataba wa ushirikiano na Kampuni ya Google kupitia huduma ya You Tube
KABUDI APONGEZA WAANDISHI WA HABARI
-
*Dodoma*
Waziri Wizara ya Habari Michezo Utamaduni Sanaa na Michezo Prof.
Palamagamba Kabudi ametoa pongezi kwa Waandishi wa Habari kwa juhudi zao za
...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni