BI Tatu Saidi anaomba msaada wa Matibabu amekuwa akisumbuliwa na Maradhi hayo kwa muda wa miaka Minne ametumia akiba yote aliyokuwa nayo wakati akifanya shughuli Zake za biashara soko la Magomeni Kilosa Morogoro. Hivi sasa yupo jijini Dar es salaam kwa Mdogo wake Mbezi Marambamawili hata hivyo amekosa Msaada wa
Matibabu kwa kuwa mdogo wake Kutokana na ukosefu wa kipato na hali duni ya Uchumi. Ameomba. Msaada wa fedha, za Matibabu
MWANAMKE BI TATU AOMBA MSAADA WA MATIBABU KWA WANANCHI WA TANZANIA
-
21:07
0 comments:
Chapisha Maoni