Wananchi hao wamesema Pori hilo limekuwa ni kelo kwao kwa kuwa watu wasiowahaminifu wamekuwa wakifanya matukio ya uwalifu ikiwepo kubakwa kuporwa pikipikiu na kuhuwawa na kutupwa katika Pori hilo. Wananchi hao wamejitahidi kutowa taarifa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya. Mtaa amna mahamuzi ya kisheria aliyofanya
Wanachi wa Vicheji Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wameamua kuingia kwenye Shamba Pori la Eka 70
-
06:56
0 comments:
Chapisha Maoni