Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA wametowa wiki mbili watengeneze Miundombinu ya Machinjio ya Vingunguti na Ukonga Mazizini pia wavae Koti Nyeupe wanapokuwa kazini mahamuzi hayo yamekuwa baada ya kukaa kikao Uongozi wa Machinjio ya Vingunguti na Ukonga Mazizini, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala na Meneja wa TFDA wa Kanda ya Mashariki
MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA UKONGA MAZIZINI YANUSULIKA KUFUNGIWA NA TFDA BAADA YA KUONEKANA MAZINGIRA MACHAFU NA MIUNDOMBINU CHAKAVU
-
07:49
0 comments:
Chapisha Maoni