Mfumuko wa Bei nchini una mwelekeo unaofanana na baadhi ya nchi nyingine za Afrika Mashariki. Uwezo wa Shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia Shilingi 98 na senti 11 mwezi Machi 2016
Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya towa taarifa ya Mfumuko wa Bei
-
06:02
0 comments:
Chapisha Maoni