Pongezi hizo zimetolewa baada ya Kufanikiwa kuwaondoa maeneo waliyokuwepo wakifanyia biashara zao. Hivi sasa wametengewa maeneo rasmi ya kufanyia biashara lkatika maeneo ya Kigogo, Tabata, Ukonga na Kivule ambapo wataweza kulipa Kodi na kunufaika pato la taifa.
TAHADHARI YA UPEPO MKALI UNAOZIDI KM.40 KWA SAA
-
TAHADHARI YA UPEPO MKALI UNAOZIDI KILOMITA 40 KWA SAA
Saa 19 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni