Asilimia 50 ya bidhaa zinazouzwa nchini imebanika ni bidhaa bandia kutoka nje ya nchi Utafiti uliotolewa na Shirikisho la Viwanda Tanzania Cti unaonyesha bidhaa hizo ni Vyakula, dawa, vinywaji, pembejeo za kilimo na vifaa vya maofisini. Taarifa ya Utafiti imetolewa katika warsha iliyowashirikisha wadau mbalimbali jijini Dar es salaam, mtaalam wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof Prosper Ngowi mdau wa Uchumi na Evarist Maembei Kansela cti
MTENDAJI MKUU WMA AHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA MIZANI ILIYOHAKIKIWA
-
WMA - DODOMA
Wakala wa Vipimo (WMA) umewataka wafanyabiashara na wananchi kuacha mara
moja matumizi ya vipimo visivyo rasmi, ikiwemo ndoo, mafungu...
Saa 18 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni