Jamii nchini imetakiwa kutoa taarifa mapema pindi majanga ya Moto ili kukabiliana nayo kwa wakati Kutokana na Miundombinu ya barabara kuwa siyo rafiki katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam. Hayo yamesemwa na Kamishina wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thabias Andengenye akizungumza na Mwandishi wa Mtandao huu jijini Dar es salaam huku akitaka jamii kutowa lawama Jeshi la Zima Moto na badala yake kutoa ushirikiano, zaidi
TATIZO LA UZIMAJI MOTO KWA WAKATI
-
11:45
0 comments:
Chapisha Maoni