Naibu Waziri wa Elimu afanya ziara shule ya Watoto wenye Ulemavu Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko kwa ajili kujua maendeleo yao, hali ya Madarasa, vitendea kazi pamoja na Mazingira ya Walimu katika ufundishaji. Mhandisi Stella Manyanya katika Ziara yake hiyo amebaini changamoto za upungufu wa Vifaa vya kufundishia watoto hao wenye Ulemavu wa Viungo sambamba na ukosefu wa karatasi, vitabu na Walimu kwa watoto Wasioona na kusikia.Naye Mwalimu Mkuu wa Uhuru Mchanganyiko Anna Mshana amefurahishwa sana na Ujio na kusema kuwa yeye pamoja na Walimu wote wamefarijika kuona Serikali inatekeleza ahadi zake kwa vitendo na kuwafikia walengwa wake.Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya alizingumzia bajeti ya Serikali kwa Wizara yake na kusema tayari fungu kubwa limeandaliwa kwa ajili ya kuelekezwa kwa Wanafunzi wenye Ulemavu nchini na kuwatia Moyo wanafunzi hao kusoma Masomo ya Sayansi ili kuweza kuisaidia Serikali katika suala la ajira hususani uwezo wa kujiajili.
Home / gloria media
/ Serikali kupitia Wizara ya elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi yajipanga kuboresha utoaji elimu kwa watoto wenye Ulemavu nchini.
- Blogger Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Inaendeshwa na Blogger.
Wanaofuata
TANGAZO
My Blog List
-
-
SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masum...Miaka 6 iliyopita
-
SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...Miaka 6 iliyopita
-
BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE - Na Mwandishi wetu Bondia Ibrahim Makubi yupo kambini kwa ajili ya mazoezi yake ya kumkabili bondia abdallah kingolwira wa ( morogoro ) katika pambano l...Miaka 6 iliyopita
-
JUMA CHOKI AJIANDAA NA MASHINDANO YA KING OF THE RING JULAI 28 - Bondia Ibrahimu Makubi kushoto akioneshana umwamba na Juma Choki wakati wa Mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D iliyopo shule ya Uhuru Kariakoo...Miaka 7 iliyopita
-
0 comments:
Chapisha Maoni